Wimbi la Siasa
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Utendakazi wa CENI na mrengo wa upinzani katika uchaguzi wa Disemba 20
Maandamano yaliotishwa na upinzani kupinga utendakazi wa CENI yalizimwa na polisi nchini DRC05/01/202410:01 -
Tume ya uchaguzi nchini DRC kumtangaza rais Felix Tshisekedi mshindi uchaguzi wa Disemba 20 2023.
03/01/202409:54 -
Raia wa DRC wapiga kura kumchagua rais na viongozi wengine
Wananchi wa DRC zaidi ya Milioni 40 wanapiga kura kumchagua rais, wabunge na madiwani. Tunachambua kwa kina.23/12/202308:28 -
Ripoti ya kamati ya maridhiano nchini Kenya
Suala la gharama ya maisha kupunguzwa lilikosa kupewa nafasi kwenye vikao vya jopo la maridhiano30/11/202309:41 -
Mjadala mkali Tanzania juu ya katiba mpya kwanza au mageuzi ya uchaguzi
Mwishoni mwa wiki jana mjadala umeibuka kati ya wadau wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu nini kingekuwa cha kwanza kuwasilishwa bungeni, muswada wa marekebisho ya katiba au sheria za uchaguzi.18/11/202310:01 -
Mkutano wa SADC watamatika bila kuzaa matunda
Katika makala wimbi la siasa tunaangazia hisia mseto zinazoenea kwenye eneo la ukanda wa nchi za maziwa makuu, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, wakuu wa nchi kutoka Jumuiya ya SADC waliokutana mjini Luanda, Angola, kushindwa kutoa terehe kamili ya vikosi vyake kupelekwa mashariki mwa DRC. Aidha, viongozi wa SADC walikubaliana kumpa muda zaidi rais wa Angola, Joao Lourenco, kuendelea na juhudi za upatanishi kati ya nchi ya DRC na Rwanda. Mwandishi wetu George Ajowi anazungumza na Haji Kaburu akiwa Tanzania na Guershome Kahebe akiwa Marekani..08/11/202309:50 -
Wanasiasa wa upinzani wa Afrika kuungana hivi karibuni
Makala ya Wimbi la siasa wiki hii inampokea kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Burundi, CNL Bwana Agathon Rwassa katika mahojiano maalum na Idhaa hii ya RFI Kiswahili01/11/202310:09 -
Bunge la seneta nchini DRC larefusha muda wa dharura kwa siku 15
Siku chache baada ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi kutangaza kulegeza hatua kwa hatua makataa ya hali ya dharura kwenye majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri mashariki mwa nchi hiyo, wiki hii bunge la seneta lilikutana na kuongeza muda wa hali hiyo, Ungana na mwandishi wetu Victor Moturi pamoja na Omari Kavota mtaalamu wa siasa za DRC akiwa mjini Beni, pia Promesse Matofali Yonama, ni mbunge wa bunge la mkowa wa Kivu kaskazini19/10/202308:47 -
Mataifa mbalimbali dunia, yamelaani hatua Hamas kuivamia Israel
Mataifa mbalimbali dunia, yamelaani hatua ya kundi la Hamas kutoka Mamlaka ya Palestina kushambulia miji mitatu ya Kusini mwa Israeli na kurusha maelfu ya maroketi kutokea ukanda wa Gaza.11/10/202310:10 -
Baraza la usalama la UN kuidhinisha Kenya kuongoza kikosi cha polisi cha kimataifa nchini Haiti
Kenya ilijitolea kuongoza kikosi hicho ambacho kimepewa mamlaka ya kukabiliana kwa mtutu na makundi yenye silaha nchini humo ambayo kwa muda mrefu yametatiza usalama wa taifa taifa hilo la Karibia.04/10/202310:03 -
10:01
-
Nafasi ya siasa kukabili mabadiliko ya tabia nchi barani Afrika
Wiki hii, wakuu wa nchi za bara Afrika, watunga sera na wanaharakati walikutana jijini Nairobi, kujadili namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Je, utashi wa kisiasa upo kufikia malengo ya azimio lililokubaliwa ?07/09/202310:08 -
Kipimo cha Demokrasia nchini Zimbabwe, huku wananchi wakipiga kura
Wananchi wa Zimbabwe, wanapiga kura kumchagua rais na wabunge. Rais Emmerson Dambudzo Mnangagwa 80, anapambana na mgombea wake mkuu Nelson Chamisa, 45. Nini hatima ya demokrasia nchini Zimbabwe ? Tunajadili kipimo cha demokrasia katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika.24/08/202310:14 -
DRC: Viongozi wakutana Kinshasa kutathmini hali ya dharura Kivu Kaskazini na Ituri
Viongozi kutoka kwenye majimbo mawili ya Ituri na Kivu Kaskazini wanazungumza na wale wa Serikali kuu, kuhusu ikiwa makataa ya hali ya dharura iliyotangazwa kwenye majimbo yao iondolewe au la, ingawa wanasiasa wengi kutoka kwenye maeneo hayo wanataka iondolewe.16/08/202310:01
Wimbi la Siasa
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa