Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Uchaguzi wa Sudan Kusini kuzungu mkuti

Imechapishwa:

Serikali ya Sudan Kusini,  ikiongozwa mrengo wa rais Salva Kiiri inasiistiza kwamba uchaguzi utafanyika disemba mwaka ujao licha ya mrengo wa makamo wa kwanza wa rais Reik Machar, kuonesha kutorithia wazo hilo.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar (kulia) na Rais Salva Kiir (kulia) wakiwa katika nyakati za furaha mjini Juba.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar (kulia) na Rais Salva Kiir (kulia) wakiwa katika nyakati za furaha mjini Juba. ALEX MCBRIDE / AFP
Matangazo ya kibiashara

Machar na wabunge wanaoegemea wapande wake wanataka mkataba wa amani wa mwaka 2018 kutekelezwa vikamilifu kabla ya uchaguzi huo kufanyika, ikiwemo kuundwa kwa katiba na kunganisha vikosi vya jeshi.

katika Makala haya wachambuzi wa siasa za Kimataifa, Lugete Mussa Lugete, ambaye pia ni mwanahostoria kutoka nchini Tanzania pamoja na dkt Braine Wanyama, mchammbuzi wa siasa za kimataifa na mhadhiri katika chuo kikuu  cha Kibabi kinachopatikana Bungoma,  nchini Kenya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.