Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Wanasiasa wa upinzani wa Afrika kuungana hivi karibuni

Imechapishwa:

Makala ya Wimbi la siasa wiki hii inampokea kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Burundi, CNL Bwana Agathon Rwassa katika mahojiano maalum na Idhaa hii ya RFI Kiswahili

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Burundi cha CNL  Agathon Rwasa katika mahojiano maalum na mwanahabari Ruben Lukumbuka katika studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi, Kenya Oktoba 30, 2023.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Burundi cha CNL Agathon Rwasa katika mahojiano maalum na mwanahabari Ruben Lukumbuka katika studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi, Kenya Oktoba 30, 2023. © Benson wakoli, RFI Kiswahili
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.