Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Bunge la seneta nchini DRC larefusha muda wa dharura kwa siku 15

Imechapishwa:

Siku chache baada ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi kutangaza kulegeza hatua kwa hatua makataa ya hali ya dharura kwenye majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri mashariki mwa nchi hiyo, wiki hii bunge la seneta lilikutana na kuongeza muda wa hali hiyo, Ungana na mwandishi wetu Victor Moturi pamoja na Omari Kavota mtaalamu wa siasa za DRC akiwa mjini Beni, pia Promesse Matofali Yonama, ni mbunge wa bunge la mkowa wa Kivu kaskazini 

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,  Novemba 2019,
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, Novemba 2019, AFP/File
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.