Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mataifa mbalimbali dunia, yamelaani hatua Hamas kuivamia Israel

Imechapishwa:

Mataifa mbalimbali dunia, yamelaani hatua ya kundi la Hamas kutoka Mamlaka ya Palestina kushambulia miji mitatu ya  Kusini mwa Israeli na kurusha maelfu ya maroketi kutokea ukanda wa Gaza.

Hata hivyo Marekani imelaani shambulio la Hamas, ikisema Israel ina haki ya kujilinda
Hata hivyo Marekani imelaani shambulio la Hamas, ikisema Israel ina haki ya kujilinda AP - Hatem Moussa
Matangazo ya kibiashara

Aidha Urusi imesema kuundwa kwa taifa la Palestina, ndilo suluhu kwa mzozo wa Isreali na Palestina, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov, akisema vita havitaleta suluhu.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.