Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Nafasi ya siasa kukabili mabadiliko ya tabia nchi barani Afrika

Imechapishwa:

Wiki hii, wakuu wa nchi za bara Afrika, watunga sera na wanaharakati walikutana jijini Nairobi, kujadili namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Je, utashi wa kisiasa upo kufikia malengo ya azimio lililokubaliwa ? 

Rais wa Kenya William Ruto, mwenyeji wa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi barani Afrika, iliyofanyika jijini Nairobi kati ya Septemba 4-6, 2023
Rais wa Kenya William Ruto, mwenyeji wa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi barani Afrika, iliyofanyika jijini Nairobi kati ya Septemba 4-6, 2023 REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.