Pata taarifa kuu
KANISA KATOLIKI-JOHN PAUL II

Ushahidi kuhusu urafiki "thabiti" kati ya John Paul II na mwanamke

John Paul II aliishi katika urafiki "thabiti" kwa miaka thelathini na Mwanafalsafa aliyekua aliolewa, Anna-Teresa Tymieniecka, limebaini shirika la utangazaji la BBC ambalo limeweza kushuhudia barua za papa alizomtumia mwanamke huyo wa Kimarekani na kuzirusha hewani Jumatatu hii.

Picha ya zamani ya Papa John Paul II akiwasalimu Wakristo, Mei 26, 2002, baada ya Misa iliyoendeshwa katika eneo la Plovdiv (Bulgaria).
Picha ya zamani ya Papa John Paul II akiwasalimu Wakristo, Mei 26, 2002, baada ya Misa iliyoendeshwa katika eneo la Plovdiv (Bulgaria). AFP/AFP
Matangazo ya kibiashara

Barua hizi zinafungua "ukurasa wa ajabu zaidi katika maisha binafsi ya mmoja wa watu maarufu katika historia", amesema Edward Stourton, mwandishi wa BBC, baada ya ugunduzi barua hizi, katika makala ya Panorama yaliorushwa hewani Jumatatu hii jioni. toleo pana la uchunguzi huulitarushwa hewani pia Jumanne hii na kituo cha Arte kinacho milikiwa na raia wa Ufaransa na Ujerumani.

Barua zaidi ya 350 ziliyoandikwa na Karol Wojtyla, ambaye ni John Paul II, kwa Anna-Teresa Tymieniecka, Mwanafalsafa kutoka Marekani, mwenye asili ya Poland, zimekutwa katika Maktaba ya kitaifa ya Poland, ambayo ilizipokea kutoka kwa Bi Tymieniecka mwaka 2008.

Barua hizi zianaonekana kuonyesha kwamba chuo kikuu kilikua na hisia za kimapenzi kwa Kardinali Wojtyla, ambaye ni John Paul II.

Kwa mujibu wa Maktaba ya kitaifa ya Poland, hata hivyo, uhusiano huu "haukua wa siri wala wa kipekee". "Hoja iliyowekwa mbele na vyombo vya habari haionyeshi uthibitisho katika maudhui ya barua za John Paul kwa Anna Teresa Tymieniecka", Maktaba ya kitaifa ya Poland imesema katika taarifa yake, ikizungumza kuhusu uhusiano "uliojulikana sana na kuelezwa katika magazeti mbalimbali."

- "Walikua zaidi ya marafiki" -

"Mpenzi wangu Teresa, nimepokea barua tatu. Unaandika kwamba umepagawa, lakinisiwezi nikapata jibu la maneno hayo", aliandika John Paul II katika barua ya mwaka 1976, akielezea kama "zawadi ya Mungu. "

"Walikuwa zaidi ya marafiki kuliko kuwa wapenzi", amesema Bw Stourton, akionyesha kwamba kulikuwa hakuna ushahidi katika barua hizi kwa nadhiri ya usafi wa moyo wa John Paul II. Barua hizi zinaonyesha "mapambano dhidi ya vitimbi vya wanawake".

"Wanawake mara nyingi kimapenzi na makuhani,hali hii husababisha matatizo mengi", Kasisi Boniecki ameliambia shirika la habri la Ufaransa la AFP. Kasisi huyo aliongoza kwa miaka kadhaa toleo la Poland la Osservatore Romano, kabla ya kuwa mhariri wa gazeti la kifahari la kila wiki la kanisa Katoliki nchini Poland la Tygodnik Powszechny.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.