Pata taarifa kuu
LEBANON-SIASA

Mashauriano juu ya uteuzi wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Julai 26 Lebanon

Ikulu ya rais wa Lebanon imetangaza kwamba mashauriano ya bunge kuhusu uteuzi wa waziri mkuu mpya yataanza Julai 26, baada ya majaribio kadhaa ya kuunda serikali mpya.

Waziri Mkuu mteule Saad Hariri alisema Alhamisi iliyopita kwamba alijiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali nchini Lebanon kwa sababu ya kutokubaliana na Rris Michel Aoun, na hivyo kuongeza mkwamo wa kisiasa ambao unazidisha mgogoro wa kifedha na kijamii, hali ambayo nchi hiyo inashuhudia kwa miezi kadhaa.
Ufaransa inasema imepokea uamuzi wa Saad Hariri siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita, ikitaka uteuzi wa haraka wa mtu atakaye shikilia nafasi hiyo.
Kauli ya Saad Hariri, kiongozi wa kutoka dhehebu la Sunni, inakuja baada ya miezi kadhaa ya mvutano na Michel Aoun, Mkristo wa Kimaroni anayeshirikiana na kundi la Kishia la Hezbollah. Wwili hawa walilaumiana kwa kushindwa kutofaulu kuunda serikali.
Michel Aoun atalazimika kuchagua mgombea anayeungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, kati yao Hezbollah inayoungwa mkono na Iran na washirika wake wa kisiasa ndio walio wengi.
Serikali za Magharibi zinaweka shinikizo kwa wanasiasa wa Lebanon kuunda serikali ambayo inaweza kutekeleza mageuzi muhimu, hali inayodaiwa na jamii ya kimataifa, hasa Ufaransa, kuipatia Lebanon msaada unaoweza kuinasua nchi kutoka kwa kile Benki ya Dunia iliita uchumi mbaya zaidi katika historia ya kisasa.
Waziri Mkuu mteule Saad Hariri alisema Alhamisi iliyopita kwamba alijiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali nchini Lebanon kwa sababu ya kutokubaliana na Rris Michel Aoun, na hivyo kuongeza mkwamo wa kisiasa ambao unazidisha mgogoro wa kifedha na kijamii, hali ambayo nchi hiyo inashuhudia kwa miezi kadhaa. Ufaransa inasema imepokea uamuzi wa Saad Hariri siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita, ikitaka uteuzi wa haraka wa mtu atakaye shikilia nafasi hiyo. Kauli ya Saad Hariri, kiongozi wa kutoka dhehebu la Sunni, inakuja baada ya miezi kadhaa ya mvutano na Michel Aoun, Mkristo wa Kimaroni anayeshirikiana na kundi la Kishia la Hezbollah. Wwili hawa walilaumiana kwa kushindwa kutofaulu kuunda serikali. Michel Aoun atalazimika kuchagua mgombea anayeungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, kati yao Hezbollah inayoungwa mkono na Iran na washirika wake wa kisiasa ndio walio wengi. Serikali za Magharibi zinaweka shinikizo kwa wanasiasa wa Lebanon kuunda serikali ambayo inaweza kutekeleza mageuzi muhimu, hali inayodaiwa na jamii ya kimataifa, hasa Ufaransa, kuipatia Lebanon msaada unaoweza kuinasua nchi kutoka kwa kile Benki ya Dunia iliita uchumi mbaya zaidi katika historia ya kisasa. REUTERS - DALATI NOHRA
Matangazo ya kibiashara

Waziri Mkuu mteule Saad Hariri alisema Alhamisi iliyopita kwamba alijiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali nchini Lebanon kwa sababu ya kutokubaliana na Rris Michel Aoun, na hivyo kuongeza mkwamo wa kisiasa ambao unazidisha mgogoro wa kifedha na kijamii, hali ambayo nchi hiyo inashuhudia kwa miezi kadhaa.

Ufaransa inasema imepokea uamuzi wa Saad Hariri siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita, ikitaka uteuzi wa haraka wa mtu atakaye shikilia nafasi hiyo.

Kauli ya Saad Hariri, kiongozi kutoka dhehebu la Sunni, inakuja baada ya miezi kadhaa ya mvutano na Michel Aoun, Mkristo wa Kimaroni anayeshirikiana na kundi la Kishia la Hezbollah. Wawili hawa walilaumiana kwa kushindwa kutofaulu kuunda serikali.

Michel Aoun atalazimika kuchagua mgombea anayeungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, kati yao Hezbollah inayoungwa mkono na Iran na washirika wake wa kisiasa ndio walio wengi.

Serikali za Magharibi zinaweka shinikizo kwa wanasiasa wa Lebanon kuunda serikali ambayo inaweza kutekeleza mageuzi muhimu, hali inayodaiwa na jamii ya kimataifa, hasa Ufaransa, kuipatia Lebanon msaada unaoweza kuinasua nchi kutoka kwa kile Benki ya Dunia iliita uchumi mbaya zaidi katika historia ya kisasa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.