Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Matarajio ya wakongo baada ya kuapishwa kwa rais Félix Tshisekedi

Imechapishwa:

Wimbi la siasa imeangazia fursa iliyopo kidiplomasia kwa rais wa DRC Felix Thisekedi aliyeapishwa Jumamosi iliyopita, kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.DR Congo, imekuwa kwenye mvutano wa kidiplomasia na Rwanda, kwa madai kuwa Kigali inawaunga mkono waasi wa M23 eneo la mashariki. Ruben Lukumbuka amewaalika Francois Alwende, mtaalamu wa siasa za DRC akiwa jijini Nairobi pia  Guerschome Kahebe pia ni mchambuzi wa siasa akiwa Jijini Washington nchini Marekani.

Rais aliyechaguliwa tena Félix Tshisekedi wakati wa kuapishwa kwake katika uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, Januari 20, 2024, mji mkuu wa DRC.
Rais aliyechaguliwa tena Félix Tshisekedi wakati wa kuapishwa kwake katika uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, Januari 20, 2024, mji mkuu wa DRC. AFP - ARSENE MPIANA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.