Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Raia wa Senegal wamchagua Faye kuwa rais wao mpya

Imechapishwa:

Bassirou Diomaye Faye amechaguliwa kuwa rais mpya wa Senegal.Faye mwenye umri wa miaka 44, mshirika wa karibu wa mwanasiasa mwenye ushawishi Ousamane Sonko, ameahidi kufungua ukura mpya wa uongozi wa nchi hiyo.Kwanini raia wa Senegal wamemchagua Faye ? Tunachambua pamoja na Mali Ali akiwa jijini Paris, na Lutege Musa Lutege akiwa jijini Dar es salaam.

Bassirou Diomaye Faye akilihotubia taifa baada ya kuonekana kushinda uchaguzi, Machi 25 2024
Bassirou Diomaye Faye akilihotubia taifa baada ya kuonekana kushinda uchaguzi, Machi 25 2024 AFP - JOHN WESSELS
Vipindi vingine
  • 09:34
  • 09:48
  • 10:04
  • 10:22
  • 10:14
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.