Ebrahim Raïssi
Ebrahim Raïssi, alishinda uchaguzi wa urais katika duru ya kwanza kwa zaidi ya 62% ya kura. Kati ya kura milioni 28.6 zilizohesabiwa, alipata "zaidi ya kura milioni 17.8".
Ebrahim Raïssi ambaye ni mshindi wa uchaguzi wa urais wa mwezi Juni, anamrithi Hassan Rohani (mwenye msimamo wa wastan), ambaye mwaka wa 2015 alihitimisha makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran na nchi zenye nguvu duniani, baada ya mvutano wa miaka kadhaa.
USHIRIKIANO-DIPLOMASIA