Pata taarifa kuu
UGANDA-HAKI

Uganda: Watu zaidi ya 40 wakamatwa wakati wa ndoa isiyo rasmi ya mashoga

Watu 44 wanashikiliwa tanu Jumatano wiki hii na idara za usalama nchini Uganda baada ya kukamatwa kutokana na kutofuata kanuni za usafi wakati wa ndoa isiyo rasmi ya mashoga huko Nansana, nchini Uganda, ambapo ushoga ni kinyume cha sheria.

Wajumbe wa jamii ya mashoga nchini Uganda wanatoa heshima zao kwa waathiriwa wa uhalifu wa chuki huko Kampala, Novemba 23, 2019 (Picha ya kumbukumbu).
Wajumbe wa jamii ya mashoga nchini Uganda wanatoa heshima zao kwa waathiriwa wa uhalifu wa chuki huko Kampala, Novemba 23, 2019 (Picha ya kumbukumbu). AFP - SUMY SADRUNI
Matangazo ya kibiashara

Uvamizi wa polisi ulifanyika katika makao ya makuu ya shirika linalotetea haki ya mashoga, LGBT, (Happy Family Youth Uganda). Kwa upande wa kionoziwa shirika hilo Isma Iga, anasema huu ni ukandamizaji uliojificha kwa jamii ya mashoa, LGBT.

"Tulikuwa tukisherehekea ndoa ya watu wa jinsia moja. Baadhi ya wanaume kwenye makoa makuu ya shirika walikuwa wamevaa maauni, huku wakijeremba vya kutosha kwa vipodozi. Karibu saa moja asubuhi, maafisa wa polisi walianza kuwakamata, kuwapiga, na kuwana kwa video. Watu 44 walikamatwa. Lakini jaji hajatoa uamuzi, kwa hivyo kwa sasa wako katika gereza la Kitalya. "

"Kulingana na mamlaka, walikamatwa kwa kutofuata kanuni za kiafya za COVID-19," amzeleze Isma Iga. Lakini ukiangalia kile maafisa wa polisi wamekuwa wakirusha hiwani kwenye mitandao ya kijamii, wanasema waliwakamata wanaume mashoga katika ndoa ya watu wa jinsia moja. Wanarusha video kila mahali, na kuwaweka watu hawa hatarini. "

Serikali inapokea pesa kutoka kwa mashirika ya kimataifa ambayo yanaunga mkono ushoga, LGBT," ameoneza kionozi wa shirika la Happy Family Youth Uganda. Kwa hivyo wanatoa visingizio naa kuomba misamaha, kwa sababu hawataki mtu yeyote ajue ni nini kinaendelea nchini Uganda. 
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.