Pata taarifa kuu
BRAZILI-CORONA-AFYA

Coronavirus: Idadi ya visa vya maambukizi nchini Brazil yazidi milioni 5.7

Brazil imerekodi visa vipya 25,012 vilivyothibitishwa vya maambukizi ya virusi vya Corona na vifo vipya 201 kutoka na na janga la COVID-19 katika muda wa saa ishirini na nne zilizopita, wizara ya afya imebaini.

Brazili imeathirika zaidi ulimwenguni na mgogorowa kiafya baada ya Marekani.
Brazili imeathirika zaidi ulimwenguni na mgogorowa kiafya baada ya Marekani. REUTERS/Bruno Kelly
Matangazo ya kibiashara

Idadi hii inafanya nchi hii, iliyoathirika zaidi ulimwenguni na mgogoro huu wa kiafya baada ya Marekani, kufikia visa 5,700,044 vya maambukizi ya virusi vya Corona na vifo 162,829, kulingana na takwimu za serikali.

Wiki iliyopita shirika la Afya Dunia, WHO, ilionya juu ya mlipuko wa janga hatari katika bara la Ulaya.

Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya kuwa wiki chache zijazo hali itakuwa ngumu zaidi.

Mlipuko wa virusi vya corona unaosababisha ugonjwa wa COVID-19, ulitokea katika mkoa wa Hubei nchini China mwishoni mwa mwaka 2019.

Kufikia sasa kinachojulikana ni kuwa COVID-19, ni ugonjwa ambao unaothiri mfumo wa kupumua wa binada

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.