Pata taarifa kuu
DRC-MAANDAMANO-UCHUMI

Wanafunzi waandamana dhidi ya kupanda kwa nauli ya usafiri Kinshasa

Polisi jijini Kinshasa imesambaratisha maandamano ya wanafunzi walioandamana kupinga kupanda kwa bei ya nauli ya usafiri wa bus.

Basi ya uchukuzi, Transco, huko Kinshasa, DRC.
Basi ya uchukuzi, Transco, huko Kinshasa, DRC. Eduardo Soteras / AFP
Matangazo ya kibiashara

Taarifa kutoka jijini humo zimearifu kuwa wa 14 wametiwea nguvuni huku wengine 15 wakijeruhiwa wakati wa purukushani za polisi na waandamanaji.

Cedric Mbunza ambaye ni mwanafunzi ameeleza kuwa wanayo haki ya kuandamana kuitaka serikali itafute suluhu kwa tatizo hilo.

Upande wake waziri wa Elimu ya juu nchini DR Congo Steve Mbikai amesema wanafanya mazungumzo na wadau mbalimbali kutafuta suluhu kwa tatizo hilo, huku akiwataka baadhi ya wanafunzi kutohatarisha hali ya mambo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.