Pata taarifa kuu

Jeshi la Ukraine ladai kuchukuwa udhibiti wa kijiji cha Andriïvka karibu na Bakhmut

Jeshi la Ukraine limetangaza leo Ijumaai, Septemba 15 asubuhi, kwamba limerejesha kwenye himaya yake kijiji cha Andriïvka, kilomita kumi kusini mwa mji ulioharibiwa wa Bakhmut upande wa mashariki, kwenye mojawapo ya barabara kunakoripotiwa mashambulizi magumu ya wanajeshi wa Kiev.

Mmoja wa wanajeshi wa Ukraine katika vita dhidi ya Urusi, karibu na Bakhmut, Ukraine Septemba 7, 2023.
Mmoja wa wanajeshi wa Ukraine katika vita dhidi ya Urusi, karibu na Bakhmut, Ukraine Septemba 7, 2023. REUTERS - STRINGER
Matangazo ya kibiashara

Wanajeshi wa Ukraine walifanikiwa kukitwaa tena kijiji cha Andriivka mashariki mwa nchi hiyo, kilichoko karibu na mji wa Bakhmut, makao makuu ya jeshi la Ukraine yamesema katika ripoti ya kila siku leo Ijumaa. Kwa upande wa kidiplomasia, Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, katika Ikulu ya White House wiki ijayo.

"Vikosi vya Ulinzi vilipata mafanikio kwa sehemu katika eneo la Klichchiivka wakati wa operesheni za kukera. Wakati wa shambulio lao, waliikomboa Andriïvka katika eneo la Donetsk (na) kuwasababishia adui hasara kubwa katika masuala ya wafanyakazi na vifaa,” Mkuu wa Wafanyakazi wa Ukrainia aliwasiliana katika ripoti yake ya kila siku kwenye akaunti yake ya Facebook, ripoti ya AFP.

"Vikosi vya Ulinzi vilipata mafanikio ya sehemu katika eneo la Klichchiivka, wakati wa operesheni za kijeshi. Wakati wa shambulio lao, walimkomboa Andriivka katika mkoa wa Donetsk (na) kuwasababishia adui hasara kubwa katika suala la wanajeshi na vifaa", makao makuu ya jeshi la UKraine imsema katika ripoti yake ya kila siku iliyowekwa kwenye Facebook.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.