Pata taarifa kuu

Vita nchini Ukraine: Wawili wauawa na 22 wajeruhiwa katika shambulio la usiku Odessa

Ukraine imeahidi kulipiza kisasi baada ya vikosi vya Urusi kurusha makombora kadhaa usiku kucha katika bandari ya Odessa. Kyiv pia imeishutumu Urusi kwa "kuharibu" kanisa kuu la Odessa kitendo kilichoainishwa na UNESCO, "uhalifu wa kivita".

Kombora la Urusi lilenga kanisa kuu la Orthodox katikati mwa jiji la Odessa.
Kombora la Urusi lilenga kanisa kuu la Orthodox katikati mwa jiji la Odessa. © AFP - OLEKSANDR GIMANOV
Matangazo ya kibiashara

Rais wa Belarus amemhakikishia Vladimir Putin kwamba "analipa hifadhi" kundi la Wagner katikati mwa Belarus, akisema katika suala hili kwamba Minsk "ilidhibiti" hali, wiki chache baada ya kuwasili kwa wapiganaji wa kundi hili kufuatia uasi wao ulioshindwa nchini Urusi.

"Wanauliza 'kwenda magharibi' (...) hadi Warsaw, Rzeszów", kwanza alitangaza Alexander Lukashenko kwa mwenzake wa Urusi, ambaye alionyesha akitabasamu kidogo. "Lakini, bila shaka, kwamba ninawaweka katikati mwa Belarusi, kama tulivyokubaliana", aliongeza, akisema hata hivyo kwamba alikuwa amebainisha "hali yao mbaya".

Rais wa Urusi ametangaza kwamba atarefusha kwa siku moja mazungumzo yake yaliyoanza Jumapili na mwenzake wa Belarus Alexander Lukashenko, mshirika wa karibu wa Moscow ambaye alisaidia kujadili kumalizika kwa uasi wa wanamgambo wa Wagner mwezi uliopita.

"Nilibadilisha baadhi ya mipango yangu," Vladimir Putin alisema. "Tutaweka wakfu siku moja na nusu, siku mbili (kwa mazungumzo haya)," aliongeza, akinukuliwa na shirika la habari la Tass.

Rais wa Urusi alimwambia mwenzake wa Belarus Alexander Lukashenko kwamba mashambulizi yanayoendelea ya Ukraine ya kuviondoa vikosi vya Urusi kutoka Ukraine "imeshindwa", kulingana na mashirika ya habari ya Urusi.

"Hakuna mashambulizi kama jibu kutoa Ukraine" amesema Alexander Lukashenko kwanza, kwa mujibu wa shirika la habari la Tass, kabla ya kukatishwa na Vladimir Putin ambaye amesema: "Kuna moja lakini imeshindwa".

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.