Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Ziara ya rais Tshisekedi wa DRC huko CHINA,pia mchakato wa uchaguzi wa 2023

Imechapishwa:

Makala ya wimbi la siasa wiki hii imeangazia ziara ya rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi nchini China, na pia maendeleo ya mchakato wa uchaguzi kwenye nchi hiyo.Waalikwa wetu katika kuzungumzia hili ni Kashando Mukanisa Yvon mchambuzi huru na mtaalamu wa siasa za DRC, wakili Moise Bashwira wa chama cha UNC moja ya vyama madarakani vya Sacred Union, na pia Muhindo Safari Akayezu wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République chake Moise Katumbi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi

Rais wa Jamhuri ya Kongo Felix Tshisekedi, kulia, na Rais wa China Xi Jinping wakihudhuria hafla ya kuwakaribisha katika Ukumbi wa Great Hall of the People huko Beijing, China, Ijumaa, Mei 26, 2023. (Thomas Peter/Picha ya Pool kupitia AP)
Rais wa Jamhuri ya Kongo Felix Tshisekedi, kulia, na Rais wa China Xi Jinping wakihudhuria hafla ya kuwakaribisha katika Ukumbi wa Great Hall of the People huko Beijing, China, Ijumaa, Mei 26, 2023. (Thomas Peter/Picha ya Pool kupitia AP) AP - Thomas Peter
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.