Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kundi la ADF latajwa kuwa la kundi la kigaidi

Imechapishwa:

Marekani inasema kundi la waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  la ADF, ni magaidi wizara ya Mambo ya nje ya Marekani ikisema viongozi wa makundi hayo, wanashirikiana kwa karibu na wale wa Islamic State na sasa wamekewa vikwazo.Victor Robert Wile anangaazia hatua hii katika makala haya. 

Katika msitu mkubwa wanakojificha waasi wa Uganda wa ADF, mashariki mwa DRC, jeshi la DRC (FARDC0 wakipiga doria.
Katika msitu mkubwa wanakojificha waasi wa Uganda wa ADF, mashariki mwa DRC, jeshi la DRC (FARDC0 wakipiga doria. RFI/Sonia Rolley
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.