UKWELI AU UONGO
Video za kupotosha kuwa mtali alishambuliwa vibaya nchini Sudan Kusini
Imechapishwa:
Cheza - 10:58
Wiki hii tunaangazia Machapisho ya kupotosha ambayo yanasambaza picha zinazodai kuwa mtalii alipigwa vibaya sana nchini Sudan Kusini.