UKWELI AU UONGO
Picha zinazodai kuwa wakaazi wanatumia boti jijini Nairobi kutokana na mafuriko
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Moja ya habari tunayoangazia ni picha kutoka Kenya kuwa wakaazi wa jiji kuu wanatumia boti kutokana na mafuriko lakini huu ni uongo.
Matangazo ya kibiashara
Kuongeza na hayo ni tutaangazia machapisho ya video ya uwongo inayooynesha msako mkali wa polisi wa Zimbabwe kuhusu sarafu mpya. Pia tunaangalia madai ya msafara wa majeshi ya NATO ulioshambuliwa na Urusi nchini Ukraine