Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Mwanaume mwenye vichwa viwili ameonekana Nigeria: Sio kweli

Imechapishwa:

Akaunti moja mtandaoni hivi maajuzi ilidai kuwa picha ilizosambaza zinaonesha mwanaume mwenye vichwa viwili nchini Nigeria, ikiashiria kuwa picha hizo zilikuwa za ukweli.

Madai ya kupotosha kuwa mwanaume mwenye vichwa viwili wamepatikana nchini Nigeria.
Madai ya kupotosha kuwa mwanaume mwenye vichwa viwili wamepatikana nchini Nigeria. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Madai haya ni ya kupotosha, AFP Fact Check iligundua kuwa picha hizi, hapo awali zilisambazwa na msanii wa madoido maalum wa Nigeria, na zilionyesha mhusika wa kubuni kwenye filamu ya Nigeria iliyooneshwa kupitia kampuni ya Netflix.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:16
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.