UKWELI AU UONGO
EAC haijazindua sarafu ya pamoja kama inavyodaiwa mitandaoni
Imechapishwa:
Cheza - 10:13
Kamati ya utendaji ya EAC ilitupilia mbali ripoti ya kuzinduliwa kwa sarafu ya pamoja ikisema mchakato wa kuundwa kwa sarafu ya pamoja ya Afrika Mashariki bado unaendelea.