Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Nigeria: Rais Tinubu amemtetea nabii TB Joshua aliyefariki: Sio kweli

Imechapishwa:

Video iliokarabatiwa ikidai kumuonesha rais wa Nigeria Bola Tinubu akimtetea nabii TB Joshua aliyefariki 2021

Video iliyobadilishwa sauti kudai rais Bola Tinubu anamuunga mkono marehemu nabii TB Joshua.
Video iliyobadilishwa sauti kudai rais Bola Tinubu anamuunga mkono marehemu nabii TB Joshua. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Video hii ilibadilishwa sauti asilia ya Tinubu na sauti nyingine inayofanana na yake. Video ya asili inaonesha hotuba ya Mwaka Mpya yake Tinubu mnamo Januari 1, 2024, wiki moja kabla ya BBC kutoa uchunguzi huo kwa umma.

 

Vipindi vingine
  • 10:18
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.