Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Video za kupotosha kuwa roboti za AI zilionekana zikitazama soka ya Marekani

Imechapishwa:

Video inaonyesha waigizaji wakiwa wamevalia mavazi maalum kama sehemu ya kampeni ya utangazaji wa filamu, na sio roboti halisi .

Video inaonyesha waigizaji wakiwa wamevalia mavazi maalum kama sehemu ya kampeni ya utangazaji wa filamu, na sio roboti halisi .
Video inaonyesha waigizaji wakiwa wamevalia mavazi maalum kama sehemu ya kampeni ya utangazaji wa filamu, na sio roboti halisi . © fmm
Matangazo ya kibiashara

Lakini madai kwamba video hii inaonyesha roboti za AI ni ya uwongo. Hili lilikuwa tukio la kampeni kuhusu filamu; tunaweza kuona mashabiki kwenye klipu ya video wakiwa wamevaa kofia na jezi zenye nembo ya Chargers.

Vipindi vingine
  • 10:18
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.