Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Zambia: Video ya kupotosha kuwa rais Hichilema ametangaza kutowania tena urais

Imechapishwa:

Hivi leo moja ya habari tunayoangazia ni video iliundwa kwa kutumia akili mnemba ikionyesha rais wa Zambia Hakainde Hichilema ametangaza kutowania urais katika uchaguzi ujao.

Video hii imeundwa kidijitali kwa kutumia akili mnemba yaani Artificial Intelligence
Video hii imeundwa kidijitali kwa kutumia akili mnemba yaani Artificial Intelligence © FMM
Matangazo ya kibiashara

Huu ni uongo, video hii imeundwa kidijitali kwa kutumia akili mnemba yaani Artificial Intelligence. Katika video hii msikilizaji, rais Hichilema anaonekana kuvalia suti ya buluu iliyokoza na tai nyekundu, nyuma yake bendera ya nchi yake inaonekana.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.