Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Video inayosambazwa ikielezwa ni wanajeshi wa Nigeria wakiingia Niger: Ni uongo

Imechapishwa:

Siku kadhaa baada ya ECOWAS kutangaza kukubaliana kuhusu makataa ya kutuma vikosi vya usalama nchini Niger, video imesambazwa mtandaoni ikiwa na madai ya kuonesha ni wanajeshi wa Nigeria wakiingia Niamey.

Katuni inayoeleza madai ya uongo kuwa wanajeshi wa Nigeria wanavamia Niger
Katuni inayoeleza madai ya uongo kuwa wanajeshi wa Nigeria wanavamia Niger © RFI Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Lakini madai haya ni ya uongo. Video hii ni ya ripoti ya shirika la habari la CNN kuhusu mgogoro wa kibinadamu wa hivi karibuni katika eneo la Darfur kule Sudan, ambayo ilichapishwa Julai 21, raia wakikimbilia nchi ya Chad.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.