Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Je haki za wanawake zinaheshimiwa

Imechapishwa:

Kwa kipindi kirefu wanawake wametazamwa kama viungo daifu kwa jamii hadi baadhi ya jamii bado zina dhana kwamba hawana haki ya kumiliki ardhi, je haki hizi zinaweza kuheshimiwa?

Mwanaharakati Irene Maina kutoka Kituo cha haki cha Dandora
Mwanaharakati Irene Maina kutoka Kituo cha haki cha Dandora © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara
Mwanaharakati Sarah Metei , Kutoka kaunti ya Kajiado nchini Kenya, Sarah yuko mstari wa mbele kupigania haki za wanawake kumiliki ardhi
Mwanaharakati Sarah Metei , Kutoka kaunti ya Kajiado nchini Kenya, Sarah yuko mstari wa mbele kupigania haki za wanawake kumiliki ardhi © rfi Kiswahili

Katika makala haya utaskia maswali yakiekelezwa kwa wanaharakati Sara Metei mtetezi wa haki za wanawake kumiliki ardhi kaunti ya Kajiado nchini Kenya, pamoja na Irene Maina kutoka Kituo cha haki cha Dandora.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.