Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Madaktari nchini Kenya wagoma kuishinikiza serikali kuzingatia haki zao

Imechapishwa:

Muungano wa madaktari, wauza dawa na madakrati wa meno, KMPDU, ambao unawakilisha zaidi ya wanachama 7,000 uliitisha mgomo Machi 15, ili kudai mishahara iliyocheleweshwa, pamoja na kupewa ajira mara moja kwa madaktari wanafunzi.Mgomo ambao umesababisha hali ya sintofahamu kwa wagonjwa kwa takribani wiki tatu sasa.

Mgomo wa madaktari nchini Kenya waingia siku ya 28 leo
Mgomo wa madaktari nchini Kenya waingia siku ya 28 leo AP - Khalil Senosi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.