Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Changamoto za wachimba madini ya dhahabu nchini Kenya

Imechapishwa:

Mchakato wa kupata madini ya dhahabu huwa ni ngumu sana. Wengi ambao wanajihusisha na kazi hii wanapitia changamoto nyingi ikiwemo kutotumia vifaa bora vya kujikinga, kazi nzito na hatimaye huenda hata kuangamia iwapo maporomoko ya ardhi yanapotokea.George Ajowi amezuru Kaunti ya Migori, Magharibi mwa  nchi ya Kenya. Ameandaa ripoti ifuatayo.

Mmoja wa wanawake wanaoshughulika na uchimbaji wa madini ya dhahabu katika Kaunti ya Migori nchini Kenya
Mmoja wa wanawake wanaoshughulika na uchimbaji wa madini ya dhahabu katika Kaunti ya Migori nchini Kenya © George Ajowi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.