Pata taarifa kuu
Marekani

Rais Obama apinga mkataba wa bomba la mafuta.

Rais wa Marekai Barrack Obama, amekataa kutia saini mradi kati ya Marekani na Canada wa kujenga bomba la mafuta kutoka Canada humo hadi Texas.

Rais wa Marekani Barrack Obama
Rais wa Marekani Barrack Obama REUTERS/Kevin Lamarque
Matangazo ya kibiashara

Rais Obama amesema pandekezo hilo limetupiliwa mbali baada ya kukosa muda wa kutosha wa kuutathimini kwa ndani zaidi na wananchi kuhusishwa kikamilifu.

Wapinzani wa rais Obama kutoka chama cha Republican ambao wamekuwa wakipinga mradi huo,walikuwa wamempa makataa ya siku 60 kuamua hatima ya mradi huo ambao ungegharimu serikali ya Obama Dola Bilioni 7.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.