Pata taarifa kuu
USHIRIKIANO-DIPLOMASIA

Urusi: Vladimir Putin akubali mwaliko wa Kim Jong-un kuzuru Korea Kaskazini

Rais wa Urusi Vladimir Putin amekubali kwenda Korea Kaskazini kwa mwaliko wa kiongozi wake Kim Jong-un, ambaye kwa sasa anazuru hasa nchini Urusi kuimarisha uhusiano wao wa kijeshi. Kwa sasa, hata hivyo, hakuna chochote ambacho kimewasilishwa rasmi kuhusiana na uwezekano wa makubaliano ya kutoa vifaa vya kijeshi kwa Urusi ili kusaidia mashambulizi yake nchini Ukraine, kama ilivyotajwa na Washington.

Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.
Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. © Artyom Geodakyan/TASS
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.