Pata taarifa kuu

Marekani: Kura muhimu katika Seneti kupitisha msaada kwa Ukraine

Bunge la Seneti la Marekani siku ya Jumapili lilichukua hatua muhimu kuelekea kupitishwa kwa msaada wa dola bilioni 95 kwa Ukraine, Israel na Taiwan, uliyozuiwa katika Bunge la Congress kwa miezi kadhaa.

Capitol Hill, makao makuu ya Bunge la Marekani, ambapo Congress (Baraza la Wawakilishi na Bunge Seneti) huendesha vikao vyao, huko Washington.
Capitol Hill, makao makuu ya Bunge la Marekani, ambapo Congress (Baraza la Wawakilishi na Bunge Seneti) huendesha vikao vyao, huko Washington. REUTERS - KEVIN LAMARQUE
Matangazo ya kibiashara

 

Kwa kukusanya kura 67 za kura hii ya kitaratibu, Seneti inaonyesha kuwa ina kura zinazohitajika ili kuidhinisha msaada huo, ambao hata hivyo utakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa maafisa waliochaguliwa wa Republican katika Baraza la Wawakilishi.

Taarifa zaidi zinakujia...

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.