Pata taarifa kuu
UWEKEZAJI-UCHUMI

Falme za Kirabu kuwekeza dola bilioni 35 nchini Misri

Falme za Kiarabu zitaingiza "dola bilioni 35 katika uwekezaji wa moja kwa moja" ndani ya miezi miwili nchini Misri, nchi iliyokumbwa na mzozo wa kiuchumi, Waziri Mkuu wa Misri Moustafa Madbouli ametangaza siku ya Ijumaa wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

Eneo la kibiashara la mji mkuu mpya wa utawala wa Misri, ulioko kilomita 50 mashariki mwa Cairo.
Eneo la kibiashara la mji mkuu mpya wa utawala wa Misri, ulioko kilomita 50 mashariki mwa Cairo. © Khaled Desouki / AFP
Matangazo ya kibiashara

Waziri Mkuu wa Misri, anasema stakabadhi hizi za kifedha zitachangia kwa kiasi kikubwa kutatua mzozo wa fedha za kigeni nchini Misri.

Taarifa zaidi zinakujia...

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.