Pata taarifa kuu

Mali: Vita vya Talataye kati ya wanajihadi vinazidisha dhiki ya wakazi wa kaskazini.

Kaskazini mwa Mali, kundi la Islamic State katika Sahara Kubwa, ambalo liliteka Talataye Jumanne Septemba 6 baada ya mapigano, limeondoka eneo hili linlopatikana kati ya Gao na Ménaka. mani wa 2015, pia lilihusika. 

Mali : comme analyser l’attaque contre la ville-garnison de Kati revendiquée par les jihadistes du JNIM?
Mali : comme analyser l’attaque contre la ville-garnison de Kati revendiquée par les jihadistes du JNIM? © AP/STR
Matangazo ya kibiashara

Hadi sasa, bado kuna utata kwenye matukio yanayohusishwa EIGS na kundi la kusaidia Uislamu na Waislamu (Jnim), lenye uhusiano na al-Qaeda na ambalo lilidhibiti eneo hilo hadi shambulio hili. Lakini Movement for the Salvation of Azawad, kundi linalounga mkono Bamako ambalo lilitia saini mkataba wa a

Wapiganaji kutoka kundi la Islamic State katika Sahara Kubwa (EIGS) waliwasili kwa wingi Jumanne, Septemba 6 alasiri, wakiwa na mamia ya pikipiki.

Tawi la kundi hilo la kigaidi limekuwa kwenye mashambulizi tangu mwezi Machi kaskazini mashariki mwa Mali, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo unakadiria kuwa umechukua udhibiti wa duru tatu kati ya nne katika eneo la Ménaka. Lakini Talataye bado ilikuwa mikononi mwa kundi hasimu la wanajihadi, Kundi la Usaidizi kwa Uislamu na Waislamu (Jnim) - hasa zaidi Ansar Dine na katiba yenye uhusiano na al-Qaeda katika Maghreb ya Kiislamu, wanachama wa Jnim.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.