Pata taarifa kuu

Vikwazo dhidi ya utawala wa kijeshi Mali: EU yaunga mkono ECOWAS

Umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ulitanaza kuiunga mkono Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) katika mvutatno wake na wajumbe wa serikali ya nchi hiyo iliyoko madarakani nchini Mali na pia kutoa tishio la vikwazo dhidi yao.

Kiti cha Mali kiko tupu kwenye makao makuu ya ECOWAS huko Accra (Ghana), Septemba 16, 2021.
Kiti cha Mali kiko tupu kwenye makao makuu ya ECOWAS huko Accra (Ghana), Septemba 16, 2021. © AFP - NIPAH DENNIS
Matangazo ya kibiashara

"Majadiliano yanaendelea kati ya nchi wanachama wa EU ili kuzingatia vikwazo vinavyolengwa dhidi ya wale wanaozuia taasisi za mpito nchini Mali," amesema msemaji wa Umoja wa Ulaya

Wakati wa kikao cha faragha, kulingana na habari kutoka kwa mwandishi wetu Serge Daniel, ilielezwa kwenye barua rasmi ambayo serikali ya Mali ilitangaza kwamba haiwezi kufanya uchaguzi wa rais na wabunge mwezi Februari 2022, kama ilivyopangwa hapo awali.

Utafiti uliofanywa na watafiti wawili wa Marekani Jonathan Powell na Clayton Thyne, umebainisha zaidi ya majaribio 200 huko Afrika tangu mwishoni mwa miaka ya 1950.

Karibu nusu ya majaribio haya yalifanikiwa - na kudumu zaidi ya siku saba.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.