Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mgombea wa upinzani kupitia UKAWA aumiza vichwa nchini Tanzania

Imechapishwa:

Chama tawala nchini Tanzania tayari kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais huku upinzani bado ukivuta subira kumweka bayana mgombea wake katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani. Maswali yanayobaki kichwani ni pamoja na kwa nini upinzani umechukua muda mrefu kumtangaza mgombea wake? Ungana na Victor Robert Wile kuangazia mada hii katika makala ya Wimbi la Siasa.............

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwa katika kampeni uchaguzi uliopita
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwa katika kampeni uchaguzi uliopita Omoo/Open access
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.