Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kenya hatarini kufungiwa na Shirikisho la riadha duniani IAAF

Imechapishwa:

Kenya imeshindwa kuwa na sheria ya kudhibiti matumizi ya dawa za kusisimua misuli kwa wanamichezo wake hasa wanariadha na hivyo, kuiweka katika hatari ya kupingwa marufuku ya kutoshiriki katika mashindano ya Kimataifa ikiwemo ile ya michezo ya Olimpiki mwaka huu nchini Brazil.Mbona tatizo hili limekuwa sugu ? Tunalijadili katika Makala haya.

Wanariadha wa Kenya
Wanariadha wa Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.