Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Olimpiki: Nigeria na Zambia zafuzu mashindano ya Olimpiki soka ya kina dada

Imechapishwa:

Kwenye makala haya utasikiliza uchambuzi wa mechi za kufuzu soka ya kina dada Olimpiki na shirikisho la riadha duniani kuwa shirikisho la kwanza kutoa tuzo za fedha, maandalizi kuelekea riadha za KipKeino Classic, mkusanyiko wa michezo DRC, uchambuzi wa mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Tiger Woods na Novak Djokovic waweka historia kubwa duniani kwenye gofu na tenisi mtawalia.

Mchezaji wa Nigeria, Michelle Alozie, akisherehekea kufuzu kwa Nigeria Olimpiki ya mwaka huu
Mchezaji wa Nigeria, Michelle Alozie, akisherehekea kufuzu kwa Nigeria Olimpiki ya mwaka huu © NFF
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.