Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa soka: Kombe la dunia Brazil 2014

Imechapishwa:

Karibu katika juma lingine la uchambuzi wa michuano ya soka ya kombe la dunia inayoendelea nchini Brazil.Brazil, Uholanzi, Ujerumani  na Argentina zimefuzu katika hatua ya nusu fainali.Ungana na Victor Abuso, Emmanuel Makundi na Collins Libert Adede kwa uchambuzi zaidi. 

Kocha wa Uholanzi Loius Van Gaal akimpongeza kipa Tim Krul baada ya kuwashinda Coasta Rica mabao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya penalti
Kocha wa Uholanzi Loius Van Gaal akimpongeza kipa Tim Krul baada ya kuwashinda Coasta Rica mabao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya penalti Getty
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.