Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa soka: Kombe la dunia Brazil 2014

Imechapishwa:

Juma hili, tunaendelea na uchambuzi wa  michuano ya soka ya kombe la dunia inayoendelea nchini Brazil.Brazil na Colombia yamekuwa mataifa ya kwanza kufuzu katika hatua ya robo fainali.Ungana na Victor Abuso, Emmanuel Makundi na Collins Liberty Adede kwa uchambuzi zaidi. 

Neymar akiongoza sherehe baada ya kufuzu katika hatua ya robo fainali
Neymar akiongoza sherehe baada ya kufuzu katika hatua ya robo fainali Foto: Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.