Pata taarifa kuu
IRAQ-SYRIA-UNICEF-IS

Unicef : Dola za Marekani Milioni 500 zahitajika Iraq

Mashirika mbalibali ya kibinadamu yanapanga kuzindua mchango wa kutafuta Dola za Marekani Milioni 500 kukabiliana na hasara iliyosabishwa na wapiganaji wa Islamic State nchini Iraq.

Mpiganaji wa Islamic State akibebelea bendera ya kundi lake, karibu na mpaka wa Iraq na Syria.
Mpiganaji wa Islamic State akibebelea bendera ya kundi lake, karibu na mpaka wa Iraq na Syria. ALBARAKA NEWS / AFP
Matangazo ya kibiashara

Mchango huu unasimamiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maswala ya watoto Unicef.

Mwakilishi wa Unicef nchini Iraq Philippe Heffinck, amesema hali ya kibainadamu nchini humo ni mbaya sana na shirika hilo linahitaji fedha hizo ili kuendelea kuwasaidia zaidi ya watu Milioni 8 waliothirika.

Haya yanajiri wakati huu Marekania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa jijini Paris nchini Ufaransa kujadili namna ya kuendeleka kukabiliana na Islamic State nchini Iraq na Syria.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.