Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Uhusiano kati ya Somalia na Ethiopia waendelea kuingia baridi

Imechapishwa:

Wiki iliyopita, Somalia ilimfukuza nchini mwake Balozi wa Ethiopia Mukhtar Mohamed kwa madai kuwa nchi hiyo inaingilia mambo yake ya ndani.Mwezi Januari, mzozo wa kidiplomasia ulianza kushuhudiwa nchini humo baada ya Ethiopia kuingia kwenye makubaliano na jimbo la Somaliland, kutafuta njia ya kufika baharini na kujenga kambi ya jeshi kwenye ukanda wake wa pwani.Nini hatima ya mvutano huu ?

Bendera ya taifa ya Somalia kwenye mzunguko wa magari huko Galkayo, jiji lililogawanywa kati ya maeneo yenye uhuru wa Puntland na Galmudug, katikati mwa Somalia Aprili 21, 2015. Picha
Bendera ya taifa ya Somalia kwenye mzunguko wa magari huko Galkayo, jiji lililogawanywa kati ya maeneo yenye uhuru wa Puntland na Galmudug, katikati mwa Somalia Aprili 21, 2015. Picha REUTERS/Feisal Omar
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.