Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kenya: Kutuma polisi wake nchini Haiti kuthibiti magenge ya wahalifu

Imechapishwa:

Serikali ya Kenya na Haiti zimetiliana  saini ili kufanikisha Kenya kutuma polisi wake nchini Haiti kudhibiti magenge ya wahalifu ambayo yameendelea kutatiza usalama nchini Haiti.

Mkuu wa genge Jimmy Cherizier maarufu Barbeque mnamo Machi 5, 2024.
Mkuu wa genge Jimmy Cherizier maarufu Barbeque mnamo Machi 5, 2024. AFP - CLARENS SIFFROY
Matangazo ya kibiashara

Katika makala haya Domic Wabala mchambuzi wa usalama na dkt Braine Wanyama, mchambuzi wa siasa za kimataifa wanatathimini nini maana ya Kenya kutuma polisi kule Haiti.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.