Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

AU yakosa kupata suluhu kwa mizozo ya Africa

Imechapishwa:

Viongozi wa Africa wamekutana mwisho wa juma katika mkutano wao wa kila mwaka wa 37, nchini Ethiopia walishindwa kuja na njia ya mapoja kumaliza migogoro barani.

The new President of the African Union and Mauritanian President Mohamed Ould Ghazouani speaks during the opening ceremony of the instance, in Addis-Abeba on February 17, 2024.
The new President of the African Union and Mauritanian President Mohamed Ould Ghazouani speaks during the opening ceremony of the instance, in Addis-Abeba on February 17, 2024. © Amanuel Sileshi / AFP
Matangazo ya kibiashara

Je tatizo la Africa nini?

Je Africa inaweza jitegemea? ndio baadhi ya maswali Benson Wakoli, na wachmbuzi mwanadiplomasia Macharia Munene pamoja na mchambuzi wa siasa za kimataifa dkt Braine Wanyama wanajaribu kuyajibu katika makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.