Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Niger, Mali na Burkina Faso kujiondoa ndani ya ECOWAS

Imechapishwa:

Mataifa ya Mali, Niger na Burkina Faso, yametangaza kujiondoa kwenye muungano wa ECOWAS, baada ya vikwazo ambayo muungano huu ulitangaza dhidi ya mataifa hayo, kipindi baada ya mapinduzi ya kijeshi.

Kasashen Nijar da Mali da Burkina Faso sun balle daga Kungiyar Yammacin Afrika ta ECOWAS (2024/02/02)
Kasashen Nijar da Mali da Burkina Faso sun balle daga Kungiyar Yammacin Afrika ta ECOWAS (2024/02/02) © RFI/ FMM
Matangazo ya kibiashara

Benson Wakoli pamoja na wachanganuzi wa siasa za kimataifa, dkt Braine Wanyama na Mali Ali, wanatathimini Athari ya Niger, Mali na Burkina Faso kujiondoa ndani ya ECOWAS.

Skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.