Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mvutano kati ya ofisi ya rais nchini Kenya na idara ya mahakama

Imechapishwa:

Rais wa Kenya William Ruto, ameingia kwenye mvutano na idara ya Mahakama. Ruto anasema Mahakama imejawa na Majaji mafisadi, wanaopindisha haki na kukwamisha miradi za serikali. Jaji Mkuu Martha Koome amekanusha madai hayo. Nini hatima ya mvutano huu ?

Jaji  mkuu nchini Kenya, Martha Koome
Jaji mkuu nchini Kenya, Martha Koome via REUTERS - JUDICIAL SERVICE COMMISSION
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.