Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mkataba kati ya Ethiopia na eneo lililojitenga na Somalia la Somaliland, kizungumkuti

Imechapishwa:

Makala hii imejadili hatua ya rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud kusaini sheria ya kufuta makubaliano kati ya Ethiopia na eneo lililojitenga la Somaliland, hii ikiashiria kutoridhishwa na matumizi ya bandari ya Berbera, uamuzi unaoibua hofu ya kutokea mgogoro baina ya pande hizo mbili.Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ameangazia hili pamoja na mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa Washington Marekani, Abdullahi Boru pamoja na profesa Macharia Munene ni mchambuzi wa siasa, na mtaalamu wa maswala ya kidiplomasia akiwa Jijini Nairobi hapa Kenya

Rais wa eneo lililojitenga la Somaliland Muse Bihi Abdi akiwa mjini Hargeisa.
Rais wa eneo lililojitenga la Somaliland Muse Bihi Abdi akiwa mjini Hargeisa. STR / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.