Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ajiuzulu

Imechapishwa:

Tunaangazia hatua ya kujizulu kwa Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok wiki hii. Kujiuzulu kwa Hamdok kumekuja muda mfupi baada ya kurejeshwa kwenye nafasi hiyo, baada ya kuafikiana na uongozi wa kijeshi chini ya Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, aliyemwondoa madarakani mwezi Oktoba mwaka 2020.

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok Ebrahim HAMID AFP/File
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.