Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mzozo wa kisiasa nchini Somalia kati ya rais na Waziri Mkuu

Imechapishwa:

Wiki hii rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohamed, anayefahamika kwa jina lingine la Farmajo, alitangaza kumsimamisha kazi Waziri Mkuu Hussein Roble, kwa madai ya ufisadi kuhusu kashfa ya unyakuzi wa ardhi.Hata hivyo, Roble ameelezea hatua ya rais Farmajo kama jaribio la mapinduzi na kuapa kuendelea na majukumu yake.

Rais wa Somalia  Mohammed Abdullahi Mohammed Farmajo, na Waziri Mkuu  Mohamed Hussein Roble.
Rais wa Somalia Mohammed Abdullahi Mohammed Farmajo, na Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble. © Caasimada Online
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.