Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mvutano wa kumpata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC

Imechapishwa:

Viongozi wa dini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia wameshindwa kuelewana kuhusu ni nani awe Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi nchini humo CENI kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2023. Tunajadili

Makao makuu ya CENI, Tume ya Uchaguzi, Kinshasa, nchini DRC, Januari 9, 2019, (picha ya kumbukumbu).
Makao makuu ya CENI, Tume ya Uchaguzi, Kinshasa, nchini DRC, Januari 9, 2019, (picha ya kumbukumbu). REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.